kufuata mkumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

    Umeona bangili kwa masai wewe ununua tu kisha unaivaa, bangili kama hizi hazivaliwi na kila mtu bali kwa maelekezo maalumu ya mizimu ya ukoo wenu. Katika jamii zetu watu wa kasikqzini mara nyingi hizi bangili huvaliwa na wazee wa ukoo huwa tunaita mate ndele au unakuta bibi mzee kabisa...
  2. Umeshawahi au kunusurika kwenda korokoroni kwa kufuata mkumbo?

    Hii inaweza kumtokea mtu yoyote haijalishi unahusika Moja kwa Moja au lah! Mimi nakumbuka Kuna siku rafiki yangu akuja na mteja anauza dsk 1tb kwa 20 tu basi kwasababu nilimwambiaga nahitaji hivo akaamua kumleta muuzaji kwangu Basi sijui nn kilitokea Ila nikajikuta nimekataa kununua ile zaga...
  3. P

    Usifuate mkumbo, kuwa na akili

    Nipende kusema tu," kila neno likutokalo mdomoni, jaribu kilitafakari kabla halijatoka, maana siku ya mwisho utalitokes hesabu" Kulitolea hesabu, inamaanisha utalielezea ulikuwa una maana gani. Ndugu zangu,kuna Roho ya Mpinga Kristo Yesu,inatembea katika jamii na dunia ,kuweni waangalifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…