Zamani nilipokuwa nimeajiriwa kuna jamaa aliacha kazi hakupatikana zaidi ya miaka 5, alitoka kazini akiwa na madeni kila kona, after five years nimepatana naye kafanikiwa kwa kiasi chake. Yaani hashindwi kulipa bills, analipa maeneo makubwa uko Katavi na Morogoro, pia anauza pembejeo za kilimo...