kufanikiwa kimaisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nguzo 5 muhimu za kufanikiwa kimaisha hizi hapa

    Mafanikio yapo katika pembe(angle) nyingi katika maisha. Mafanikio nini, kila binadamu ana tafsri yake kuusu mafanikio, mwengine ana amini kuwa na pesa nyingi ni mafanikio, mwengine kuwa na furaha ndio mafanikio. Mafanikio yapo katika angle tano muhimu ambazo ukielewa utakuwa na mafanikio ya...
  2. Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

    UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu 1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa, 2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa 3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha, 4. Kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku...
  3. Nimeamini ni ngumu sana kutoboa kwenye maisha kama unatoka kwenye familia masikini

    Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa. Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu Wanapewa connection na ndugu Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa Oya tupambane sio rahisi
  4. G

    Nataka nimsaidie kisiri rafiki mlinzi shilingi milioni 1.2 kwa mategemeo ataacha ulinzi anaolalamka unamtesa ili afanye biashara. Je, nitarajie hilo?

    nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12 Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…