Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilisha rasmi shughuli zake tarehe 27 Juni 2025 kwa Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia. Bunge hilo litavunjwa rasmi Agosti 03, 2025 litakapokamilisha kipindi chake kikatiba. Baada ya hatua hiyo itafungua rasmi dirisha la kuelekea uchaguzi...