Uzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa.
Kazi mliyompa Mzee Wasira ya uwenyekiti wa CCM bara ni kazi nzito sana kwa Mzee kama Wasira aliyelitumikia taifa...