Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa).
Baada ya NEEMA kuhoji Kanga si zake, mtoto huyu Ndani ya kanga zisizo za NEEMA, akarudishwa Kwa Mzazi mwingine...