Je, unajua ukubwa wa shamba lako? Je, umechunguza hali ya udongo unaotumia kila msimu?
Kufanya kilimo bila taarifa hizi ni sawa na kuingia kwenye giza nene bila tochi!
Leo #RubabaTV tupo Shigagati - Geita Vijijini tukitembelea shamba la mkulima wa mpunga kwa ajili ya:
🧪 Kupima udongo
📏 Kupima...