Habari wakuu,
Ninamaliza mwaka kwa hali ya juu kabisa nikiwa na furaha na vijipesa angalau vya kula na kunywa ninachokitaka!
Kama kawaida 2021 ulikuwa mwaka wenye changamoto zake lakini kwa asilimia 85 naweza kusema changamoto zote hizo chanzo chake ni ulevi, Serengeti Lite, Konyagi, Kvant...