Hbari za mda hu wana JF wote.
Uzi huu unausu mambo ya simu, jinsi gani ya kuroot simu za android 6 nakuendelea kwa komputer au bila computer brand zote. Naomba mwenye kujua program inayo tumika na android zipi zinakubali.
Watu watasema nenda youtube, lakini ukwel ni kwamba youtube video nyingi...