Usiku wa leo, Aprili 8, burudani kutoka UEFA Champions League inaendelea 🔥
Mashabiki wa soka duniani wanasubiri kwa hamu mechi hizi kali:
FC Barcelona 🆚 Atlético Madrid
Paris Saint-Germain 🆚 Liverpool FC
Ni vita ya vigogo, mbinu kali na presha ya hatua za mwisho!
Je, ni nani kuibuka mbabe...