Maandamano ya Gen Z kutoka Kenya hadi Morocco, Nepal hadi Peru, na sasa Madagascar, yamekuwa yakitikisa mitaa na mitandao. Kundi hili la vijana limekuwa na mada kuu tatu wanazozisukuma kwa nguvu: uwajibikaji wa viongozi, mabadiliko ya kijamii, na usawa wa kiuchumi. Aidha, wamekuwa wakisisitiza...