kiza mayeye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Kiza Mayeye: Nikiingia Bungeni nitapigania bajeti ziwafikie

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Kiza Mayeye, amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha anapigania maslahi ya wananchi kwa kuhakikisha bajeti zinazopitishwa bungeni zinawagusa moja kwa moja wananchi na si kufujwa kwenye...
  2. GE2025 Kiza Mayeye: Huduma ya Afya Tanzania zinatolewa kwa matabaka

    Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia hakuna, wazee wanatozwa hela, lakini tunashangaa wenzetu wa Chama Cha Mapinduzi wanajisifia eti nchi...
  3. W

    PreGE2025 Kiza Mayeye wa ACT Kugombe ubunge Kigoma Kiskazini

    Mwanachama wa Chama Cha ACT Wazalendo, Kiza Hussein Mayeye Mei 03, 2025 amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya chama hicho. Kiza Mayeye ambaye pia ni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa ACT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…