Kituo cha Buza Kanisani hiki kilijengwa kwa nia nzuri ila tamaa za mapato na kukosa utu zinageuka kuwa mateso kwa abiria.
Tarehe 18/2/2026 kama ilivyo mwaka jana viongozi wa eneo hili wakitumia askari wa jiji wamenza tena kulazimisha daladala kuishia hapa kwenye hili kituo hii inatokana na kuwa...