Kituo cha Afya cha Bunju kimekuwa kikitoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi, hasa katika upande wa kliniki za wajawazito. Mbali na utaratibu kuwa mbovu, pia kuna kutoza gharama kubwa zisizoeleweka.
Kwa mfano, mama mjamzito anapoenda kliniki ya kwanza, anatozwa kiasi kikubwa cha fedha tofauti...