kisukuru kuomba kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitila awatembelea waajiri wake Sinza kuomba kura

    Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Professsa Kitila Alexander Mkumbo Septemba 23 ameendelea na kampeni zake katika kata ya Sinza kuinadi ilani ya Chama cha Mapinduzi na kumuombea kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt Samia Suluhu Hassan. Soma pia: Prof. Kitila aridhishwa na zoezi la kura za...
  2. GE2025 Agnesta Kaiza atua kwenye tawi la Yanga, Kisukuru kuomba kura

    Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, akiomba kura wakati wa kampeni yake ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika kwenye kata ya Kisukuru jimboni hapo. Akiwa tawini hapo mgombea huyo amesema kuwa wale walioaminiwa kwa miaka 10 hawajafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…