Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original.
Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni...