Mikhail Gorbachev alikuwa mmoja wa watu mashuhuri katika siasa karne ya 20.
Aliongoza kuvunjwa kwa Muungano wa Sovieti ambao ulikuwepo kwa karibu miaka 70 na ulikuwa umetawala sehemu kubwa za Asia na Ulaya Mashariki.
Hata hivyo, alipoanzisha mpango wake wa mageuzi mwaka 1985, nia yake pekee...