Kiongozi wa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, amedai kuwa Rais William Ruto anaendesha mkakati wa kumtenga kisiasa Naibu Rais Kithure Kindiki ndani ya serikali ya Kenya Kwanza.
Akizungumza wakati wa mazungumzo na vyombo vya habari, Gachagua alisema Kindiki...