Iko hivi wadau. Katika kubadilishana mawazo na mdau mmoja, nikampa wazo kwamba baada ya kuvuna mahindi sasa tugeukie kilimo cha mali mbichi hususan Kitunguu maji. Malengo ni kwamba at least mwezi November mzigo unavunwa.
Mazingira ya shamba ni safi hivi najiandaa kuvuna mahindi. Maji yapo...