Habari Wakuu,
Natanguliza shukrani. Kwa sasa niko mkoani Dodoma na nimevutiwa na kilimo cha alizeti. Hivyo, naomba msaada wa kupata shamba la kukodi mkoani Dodoma, hasa maeneo ya Mpwapwa, au eneo lingine linalofaa kwa kilimo hicho.
Ninatafuta shamba lenye ukubwa wa takribani hekari 10 au...