Klabu ya Simba SC imeweka wazi kikosi chake kitakachosafiri leo Oktoba 16, 2025 kuelekea nchini Eswatini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Hotspurs, utakaochezwa Oktoba 19, 2025.
Katika orodha hiyo, jina la goilikipa Moussa Camara, Alassane Kanté, Mohammed...