wakuu
=====
huyu Yamal kweli ni bwana mdogo amemsahu hata pele???
Nyota chipukizi wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ameibua mjadala mzito mitandaoni baada ya kutangaza kikosi chake cha ndoto (all-time XI), kikosi ambacho kimejaa mastaa waliotawala enzi za tiki-taka na mafanikio makubwa ya klabu...