Inspekta Generali kwa niaba ya Jeshi la Polisi Kenya ameomba radhi kuhusu ripoti iliyotolewa na polis kuwa Ojwang' alikufa baada ya kujigonga mwenyewe ukutani alipokuwa gerezeni
Asema ripoti hiyo ilikuwa ya uongo, kifo chake hakikusababishwa na kujigonga mwenyewe ukutani na kwamba anaomba radhi...