khalifa said

Said Khalifa Gouda (16 April 1930 – December 2014) was an Egyptian weightlifter who competed in the featherweight and lightweight class and represented Egypt at international competitions. He won the gold medal at the 1951 World Weightlifting Championships in the 60 kg category. He also competed in the men's featherweight event at the 1952 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Khalifa said - Tumekuwa jamhuri ya ndizi / banana republic

    01 Agosti 2026 Tafakuri ya Khalifa Said Kuhusu Hali ya Kisiasa, Uhuru wa Vyombo vya Habari Utawala wa Sheria Nchini Mwandishi tunduizi mwenye fikra huru Khalifa Said ndani ya mahojiano exclusive kuhusu hali ya kisiasa, kiuongozi na utawala bora ilivyo nchini Tanzania.. Sisi Tanzania kusema...
  2. JamiiForums Tanzania Khalifa Said: Mali zote CCM inadai kumiliki ziliporwa kutoka kwa Watanzania, na ni muda sasa mali hizo zirejeshwe Serikalini

    Mwandishi wa habari Khalifa Said amesema mali ambazo CCM imekuwa ikizitaja kuwa ni mali zake zinapaswa kuangaliwa upya, akidai nyingi zilipatikana kwa fedha za umma zilizotokana na kodi za Watanzania wakati wa mfumo wa chama kimoja. Kwa mtazamo wake, mali hizo ni za wananchi wote na si mali...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Joseph Warioba ajibu maswali magumu kutoka kwa waandishi Jenerali Ulimwengu na Khalifa Said

    10 May 2026 Jaji Warioba Aongea: Ripoti ya Chande, Maridhiano, Katiba, Aonya Kuzuia Mawazo: Watanzania Wanaogopa https://m.youtube.com/watch?v=sZv8yMHKNII Mazungumzo haya yalifanyika mnamo Mei 09, 2026, ambapo Jaji Joseph Warioba aliweza kupokea maswali kutoka kwa Mzee Jenerali Ulimwengu na...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Khalifa Said: Kilichotokea Okt 29 ni matokeo ya wanaoshikilia madaraka kuminya kila nafasi ya wananchi kushiriki kwenye uendeshwaji wa nchi yao

    Mhariri wa The Chanzo Khalifa Said anasema kilichotokea Oktoba 29, 2025 ni “natural outcome” ya juhudi za wanaoshikilia madaraka kuminya kila nafasi ya wananchi kushiriki kwenye uendeshwaji wa nchi yao. wasipojirekebisha, ni wazi huo hautakuwa mwisho wa wananchi kudai “stake” yao kwenye nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Khalifa Said: Kufungiwa kwa JamiiForums, Hatufanyi Hii Kazi kwa Sababu ni Rahisi, Bali kwa Sababu ni Muhimu

    Nimeyachukua maneno niliyoyatumia kwenye kichwa cha habari cha makala haya kutoka kwenye moja ya vipindi vya YouTube vinavyozalishwa na mchumi na mchambuzi wa Kiingereza, Gary Stevenson, anayeendesha kampeni dhidi ya hatari ya kukua kwa pengo kati ya walionacho na wasionacho nchini humo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…