Kesi ya jinai inayowakabili wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la Wachokonozi, Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, Agosti 19, 2025, imeendelea katika Mahakama ya Wilaya ya Meru mbele ya Hakimu Sodeyeka, kwa kusomwa hoja za awali(ph)
Washitakiwa wote wawili walikanusha mashitaka mawili...