Amani iwe nanyi Wanabodi.
Leo napenda kuwaambia ukweli mchungu sana ambao inabidi tuupokee na kuufanyia kazi kweli.
Wanaotegemea Samia atabadilika na kuwa Kiongozi mwema atakayewapa Watanzania haki zao bila kuwepo kwa shinikizo (hofu) la kushtakiwa na kufungwa jela nawaonea huruma sana...