kero kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Kariakoo ina miundombinu mibovu hasa barabara na mifumo wa majitaka

    Wakuu najiuliza kwanini mamlaka haziweki miundombinu vizuri Karikoo yote, baadhi ya mitaa miundombinu imechakaa kana kwamba pale si kitu cha Biashara nchini na nchi jirani. Barabara nyingi mbovu kupindukia, wakati wa mvua hapatamaniki zinajaa madimbwi, matope mpaka kero. Miundombinu ya maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…