Habari Madam President, sisi ni Wakazi wa Tanga Mjini, Barabara ya 05 Ngamiani, Mtaa wa Makoko tatizo letu kubwa ni hiyo Majestic Bar ilikuwa ni mali ya CCM lakini imekodishwa na Joseph inasikitisha na ni kero kubwa ina fujo sana hadi Usiku wa manane.
Naomba msaada kwenu tuna recordings zote za...