🚨 TANGAZO LA KAZI – SALES PERSON (2 POSTS) 🚨
Time Less International inatangaza nafasi za kazi za Sales Person kwa wahitaji wenye sifa zifuatazo:
✅ Awe na Degree au Diploma
✅ Awe smart na mwenye muonekano nadhifu
✅ Awe na uzoefu wa kazi za sales
✅ Awe tayari kuanza kazi tarehe 01/04
✅ Msichana...
Habari wakuu
Mimi ni ke umri miaka 25, natafuta kazi yoyte halali ndani ya Dar, naishi Kigamboni, nina uzoefu na kazi ya uwakala na sales. Nina Nida, TIN na Certificate... Naomba msaada wenu jua ni kali mno🙏