Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 27, Ninapenda kuwasilisha nia yangu ya kujiunga na taasisi yako kama mwalimu au fasiliteta wa masomo ya ICT. Nina Shahada ya Business Information Technology, na kwa takribani mwaka mmoja nimekuwa nikifanya kazi na kampuni inayotoa mafunzo ya TEHAMA...