Kufuatia Vifo Vilivyotokea Wakati wa Kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 nchini Tanzania
Mhashamu Stephano Lameck Musomba OSA, Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo Amewaomba na kuwaalika Mapadre, WATAWA, Waamini na Wote wenye Mapenzi Mema Tarehe 11/11/2025 Iwe ni Siku Maalumu ya Kuwaombea...