kata ya kimbiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Haran Sanga: Nitamaliza kero za nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji

    Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haran Sanga, amepania kumaliza kero ya nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji. Akizungumza na wananchi, Sanga alisema wakulima wengi wa mazao wamekuwa wakisumbuliwa na nyani hali ambayo imefifiza uchumi wao. Ameahidi endapo atapewa ridhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…