kata ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Manara: Wamiliki wa Malori fuateni Sheria, bora mtunyime Kura lakini Malori yatoke Kariakoo

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara, amewataka wamiliki wa malori ya mizigo yanayoingia katikati ya jiji kuhakikisha wanazingatia sheria na kanuni za usafirishaji, hususan uzito unaoruhusiwa katika barabara hizo. ‎ ‎Akizungumza usiku wa kuamkia leo, Septemba 26, 2025, katika shughuli...
  2. GE2025 Manara: Nitamfikia kila mpiga kura wa Kata ya Kariakoo

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ameahidi kuwafikia wapiga kura wote wa kata hiyo ili kuwaomba kura, akisisitiza kuwa bado ana nguvu na ari ya kufanya kazi hiyo kikamilifu. Soma Pia: Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…