MGODI UPO TANAGA MAENEO YA MSATA
1) HEKA 60
2) LESENI ZIPO 7
3) LESENI 5 ZIPO
4) LESENI 2 BADO
5) SCAVETOR ZIPO 2
6) WHEEL LOADERS 2
7) KUBWA 1
8) NDOGO 1
9) SHANTING TRUCK 2.
10) DRILLING LING 1
11) JAWA CRUSHES 3
12) CONE CRUSHER 1
13) KILA AWAM MOJA
14)INAZALISHA ROLI 12 HADI
15)BEI...
HABARI ZA MUDA HUU WANA JUKWAA,Natumai ni wazima waafya ,lengo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua jinsi ya kupiga pesa nyingi ikiwa kama ni MENEJA MKUU wa KARASHA(Crusher) la kusaga mawe yaliyo na dhahabu pia ningependa kujua kama ni mmiliki wa karasha kuna changamoto gani na pia faida...