Leo tarehe 1 July 2025 katika mahakama ya mwanzo mkoani iringa, taasisi husika kupitia katibu mkuu wake imefunguliwa kesi ya madai ya shilingi 2,340,000.
Kesi hii itatajwa kwa mala ya kwanza tarehe 4 July 2025 mala baada ya mdaiwa kufikiwa na wito wa kimahakama ambao tayali ameupokea na nakala...