Kwa jiografia ya Mwanza, mji huu una njia kuu mbili za kutoka katikati ya jiji na kuliunganisha jiji la Mwanza na mikoa jirani, yaani kwa kifupi hizi njia mbili zikipata hitilafu, mji hauingiliki wala kutoka, inakua kero tupu.
Daraja la Mkuyuni kwa msiofahamu lipo njia kuu ya Mwanza mjini...