Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameahidi kuwafuta wananchi machungu waliyoyapata wakati wa uongozi uliopita chini ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Bonnah Kaluwa.
Akizungumza Oktoba 26,2025 katika moja ya mikutano yake ya kampeni...