kadhia ya usafiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanafunzi watazamwe kuhusu kadhia ya usafiri

    Wanafunzi wa Dar es salaam wananyanyaswa sana na makondakta wa daladala,watoto wanawahi mapema stand lakini hawawabebi na mara nyingine wanawatusi kabisa. Wanaweza kukaa stand takribani masaa 4 wakisubiri usafiri lakini kila gari linalokuja wana wazuia. Kuna watoto wa darasa la 1-7 mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…