"Kuna watu wakiwemo wazee wanatengeneza orodha ya nani na nani watashiriki kwenye maridhiano baada ya hii kitu kinaitwa uchaguzi mkuu mimi naita kiini macho watakao shiriki kwenye maridhiano kutupatanisha, sasa hivi wamekaa kimya kwa sababu wanaulaji, mimi naanza kuwakataa leo mmepoteza uhalali...