julius mwita

Tanzania competed at the 1980 Summer Olympics in Moscow, USSR. The nation won its first ever Olympic medals at these Games.

View More On Wikipedia.org
  1. Julius Mwita aliyekuwa CHADEMA na kwenda CHAUMMA kaamua awe Mchungaji?

    Eneo rahisi la kuvutia watanzania wenye shida zilizosababishwa na CCM , ni kuanzisha Kanisa. Huko ndiko watu kama "Kiboko ya wachawi" alikotapeli maelfu ya watanzania na kuachwa na CCM "atorokee" kwao Kongo na kuanza kuwananga wateja zake wa zamani kuwa ni wajinga. Leo nimeiona hii Clip ya...
  2. PreGE2025 Julius Mwita aliyeondoka CHADEMA asema alikuwa anazuiwa kuingia ofisi ya Lissu, pia alikuwa hapendwi

    "Mwenyekiti wa sasa alisema ataishughulikia sekretarieti, na bahati nzuri watu waliamua kujishughulikia wenyewe na asilimia 90 ya wajumbe wa sekretarieti ya CHADEMA waliondoka wenyewe hawakufukuzwa, kwa mazingira yale unaishi katika kipindi hupendwi wala huthaminiki," - Julius Mwita aliyeondoka...
  3. PreGE2025 CHADEMA Musoma Mjini wataka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 baada ya kuipinga "No Reforms No Election"

    Wakuu, Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Musoma mjini kimemtaka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 kwa kupinga kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ na kuidhalilisha kampeni ya tonetone, la sivyo atafutiwa uanachama na kuzuiwa kushiriki jukwaa lolote la chama hicho. Makada hao wamelaani...
  4. PreGE2025 Julius Mwita: Chama hakijatujibu waraka wetu, wapambe wanatuita waasi

    Wakuu, "Serikali na Bunge wamepaka rangi sheria ya uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa tume huru ya Taifa ya uchaguzi na ndio maana sisi tunaunga mkono No reforms ili kuwe na chaguzi huru, za haki na za amani ili kila mmoja akigombea aone anaweza kushinda. Sisi hatupingani na chama...
  5. PreGE2025 Julius Mwita: CHADEMA lengo lake ni kushika Dola, kunapokuwa na chochote ambacho kinazuia hilo lazima kisemwe

    "Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA" "Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
  6. PreGE2025 Julius Mwita: G-55 inataka CHADEMA iende kwenye uchaguzi

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema; "G- 55 haiwavurugi watu ila watu ndio wanajivuruga, sisi...
  7. PreGE2025 Julius Mwita: Tume hii 'mbaya' ilimpa ushindi Lissu ubunge 2010

    Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema "Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72...
  8. PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Julius Mwita baada ya kung'olewa, adai Chama kinaendeshwa na Maria Sarungi kutoka Nairobi

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema. Mwita ambaye amezungumza na wanahabari...
  9. PreGE2025 CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi

    Chama cha Demokraska na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu wake Bw. John Mnyika leo Aprili 02, 2025 kimetangaza kutengua uteuzi wa Bw. Julius Mwita, aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chadema. Taarifa hii ni kulingana na vyanzo vyetu vya kuaminika kutoka ndani ya Chama cha Demokrasia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…