Afisa Mnadhimu Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka maafisa usafirishaji maarufu kama Bodaboda wa wilayani Tarime kudumisha na kuilinda amani ya nchi hii.
Ametoa wito huoOktoba 17, 2025 katika kikao cha Jeshi la Polisi Tarime Rorya na...