Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa kudai aondoke madarakani, akisisitiza kuwa Rais huyo si wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pekee bali ni...