jose mlavichwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuhusu Jose Mlavichwa TANAPA na TAWA wako sahihi au wanamuonea?

    Wiki hii gumzo mitandaoni limechochewa na hatua ya TAWA pamoja na TANAPA kumkataza kijana maarufu wa mitandaoni, Jose Mlavichwa, kuendelea kupost video zake akila vyakula vya asili kama Kenge, konokono na viumbe wengine wa porini. Wapo wanaohoji: “Hivi kweli kenge na konokono mtu akila ni kosa...
  2. Vyakula vya Ajabu kutoka kwa Jose Mla Vichwa

    Kwa muda mrefu sasa, jina la Jose Mla Vichwa limekuwa gumzo mitaani, mitandaoni na hata meza za chai za ofisi nyingi hapa nchini. Ni mtu anayeonekana tofauti, mtu mwenye hamu ya kugusa, kuonja na kula vyakula ambavyo Watanzania wengi hawaitaji hata kuvisikia. Kicheche, kenge, panya, chatu – kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…