Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa...