Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, amezungumzia sakata la mshambuliaji wa klabu hiyo, Jonathan Sowah, na kuthibitisha kuwa walimuondoa kambini Dodoma na kumrejesha Dar es Salaam mara baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons.
Ahmed amesema Sowah kwa sasa yupo nje ya...