John KAAYA wakati akitoa ushahidi wake amedanganya mahakama juu ya ELIMU yake
1.Hakusoma advanced diploma ya Refrigerator and Air-condition
Ukiacha tu kuwa hakuna kozi hiyo Kwa level hiyo,Lakini pia hakuna chuo chochote nchini Kenya kinachotoa kozi hiyo.
2.Hakuna neno Advanced diploma Kwa...