Kupitia ukurasa wake wa X, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amehoji na kuendelea kuonesba masikitiko yake juu ya vitendo vya utekaje. Heche anaandika;
"Vyombo vyetu vya dola, polisi wetu hawapaswi kuwa chanzo cha hofu kwa watu.
Mwl Nyerere hakuunda Nchi na vyombo vya kujaza watu...