Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi ameongoza Jogging la hiari katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Samia Connect ambalo linaanza katika Viwanja vya Mgambo kuzunguka baadhi ya maeneo jijini Arusha. •
Soma pia: Mchengerwa Awataka Ma RC, DC Kuongoza Jogging Kwenye Maeneo Yao