Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hii hapa.
===================
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job Yustino Ndugai, kilichotokea tarehe 6 Agosti 2025...