Tazama namna nyuki walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja kutoka Nigeria na JKU FC ya Zanzibar ulisimamishwa hapo jana Jumatano baada ya kundi la nyuki kuvamia uwanja; wachezaji na waamuzi walilazimika kujilaza chini huku wengine wakikimbia hovyo kutafuta usalama.
JKU VS Yanga SC
| Fainali Kombe la Muungano
| Mei 1, 2025
Mchezo unaendelea
Goooooooooooooo! Max Mpia anawapatia goli la kwanza Yanga
Yanga anakuwa bingwa wa kombe la Muungano 2025
Go
Timu za JKU na UHAMIAJI ni timu za Zanzibar kindaki ndaki kuliko Yanga. Hatukuelezwa kwanini JKU na UHAMIAJI hawakutaka mechi zao za mashindano ya CAF wachezee Zanzibar, lakini Yanga wanataka kwenda kucheza CAF championship mzunguuko wa pili Zanzibar. Kuna nini hasa hapo?
Ufafanuzi...
Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa.
Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia gharama kubwa kuukarabati,timu za JKU na Uhamiaji zinacheza mechi zao za nyumbani ugenini.
Soma Pia...
Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ya JKU inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.
Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.
Timu ya JKU imeanza kinyonge Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza wa nyumbani dhidi ya...
Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo...